
Ndani ya mwezi mmoja VTF tumefanikiwa kuwapeleka kazini wadada wa kazi zaidi ya 20 kwenye familia mbalimbali na wote wana uhakika wa kulipwa stahiki zao bila shida chini ya usimamizi wetu,Tunachokifanya Vtf ni kuhakikisha usalama wa MWAJIRI na mwajiriwa pia kuhakikisha kila mmoja anafurahia huduma ya mwenzake,karibu vtf kwa huduma bora zaidi.