
Ndani ya mwezi mmoja VTF tumefanikiwa kuwapeleka kazini wadada wa kazi zaidi ya 20 kwenye familia mbalimbali na wote wana uhakika wa kulipwa stahiki...

Hakuna jambo jema kama kupeleka vijana kazini,Siku ya jana tumefanikiwa kupeleka vijana kumi kwa Agrovvet Tanzania ambao wanajihusisha na utengenezaji...

Tuna Shukuru sana kufanya kazi na Buddy P Company limited tumewapelekea vijana wapatao thelathini na tano kwa ajili ya promotion ya vinywaji wanavyoza...