Earn our user's trust. Get your account approved to start posting jobs
Hakuna jambo jema kama kupeleka vijana kazini,Siku ya jana tumefanikiwa kupeleka vijana kumi kwa Agrovvet Tanzania ambao wanajihusisha na utengenezaji na uuzaji wa chakula cha mifugo nje na ndani ya nchi,VTF imedhamiria kuondoa Vijana vijiweni.